Ate Lyrics

Mbosso

Swahili

Bongo Flava

Print

Ate

By Mbosso


Nataka longa na wewe
Nikufunze mapenzi
Mwenzako nayajua

Nataka sema nawe
Nikufunze penzi mimi
Ninalijua

Niipe 
Nikubembeleze ka mtoto ng'ara
Kwa raha zako ujinenepee


Nikushike 
Pendo lisiteleze nikagaragara
Wabaya macho wasisogelee

Twende Zanzibari
Comoro Mombasa
Tucheze Somali
Ndombolo chakacha

Nikupe michezo hatari
Uzitidi takata
Tuwe ng'aring'ari
Dangote Tanasha

Kama kikogwa nitala na chumvi
(Ate Ate Ate Ate)
Vimboga mboga sangara uduvi
(Ate Ate Ate Ate)

Eeey iyaa na iyaa
(Ate Ate Ate Ate)
Eeey iyaa na iyaa
(Ate Ate Ate Ate)

Mmmmh...
Mmmmh...

Mimi dakitari
Dakitari wa mapenzi
Dozi yangu temethali
Inatibu na kuenzi

Yangu tamu tamu ninakuchanjia
Chachu kwa kudambulia
Swafi kwa kuitumia
Ni salaaama

Kama bubblegum ukitafunia
Ndafu kwa kusukumia
Chakulumagia 
Kinyama

Penzi liogee hii bahari salama
(Selelea se)
Tuelee mioyo isiende mrama
(Selelea se)

Tule tujisosomoe 
Nyama nyama za shawarma
Selelea se
Oooh habibi selelea

Twende Zanzibari
Comoro Mombasa
Tucheze Somali
Ndombolo chakacha

Nikupe michezo hatari
Uzitidi takata
Tuwe ng'aring'ari
Dangote Tanasha

Kama kikogwa nitala na chumvi
(Ate Ate Ate Ate)
Vimboga mboga sangara uduvi
(Ate Ate Ate Ate)

Eeey iyaa na iyaa
(Ate Ate Ate Ate)
Eeey iyaa na iyaa
(Ate Ate Ate Ate)

(Wasafi)

Nyama mwari kang'ania(Anaitaka)
Analilia(Anaitaka)
Ooooh kashikilia(Anaitaka)
Nimpe yote yoote

Yaani mzima mzima(Anaitaka)
Oooh kulamba lamba(Anaitaka)
Chocolate ya maziwa(Anaitaka)
Yote yote