Uoga Lyrics

Jolie

Bongo Flava

Print

Uoga

By Jolie


Wowowowo
Aaah aah aah

Eeeh tamu kama asali 
Kuipata fanya bidii 
Utadunda dunda

Mi kwako tayari
Huhitaji hata bidii
Huhitaji vumba


Inahitaji uhodari(wewee)
Mwanaume kujituma aah
Nishike zangu akili(wewee)
Moyo wangu tuaa(uuh uuuh)

Wakucheza kucheza nao sio mimi nitaumia
Wakuruka kuruka nao sio mimi nitaumia
Wakucheza kucheza nao sio mimi nitaumia
Wakuruka kuruka nao ooh

Usije change pigo(uwoga)
Mwenzako nakupenda sana(uwoga)
Usije ukachange kidogo(dogo)
Ghafla ukawa mbogo
Nitaogopa sana aah(uwoga)

Usije change pigo(uwoga)
Mwenzako nakupenda sana(uwoga)
Usije ukachange kidogo(dogo)
Ghafla ukawa mbogo
Nitaogopa sana aah(uwoga)

Ile michezo ya karata mbili
Ukalamba ukafunuliwa
Macho ya watu chunga aah

Cheki ulivyotaradadi
Watoto wazuri we
Watataka iteke nyumba aah

Nakupenda sana sio siri we
Ukiniacha utanivuruga aah, wewee
Nabeba lawama kweli we
Sitojali hata moja(uuh uuh uh)

Wakucheza kucheza nao sio mimi nitaumia
Wakuruka kuruka nao sio mimi nitaumia
Wakucheza kucheza nao sio mimi nitaumia
Wakuruka kuruka nao ooh

Usije change pigo(uwoga)
Mwenzako nakupenda sana(uwoga)
Usije ukachange kidogo(dogo)
Ghafla ukawa mbogo
Nitaogopa sana aah(uwoga)

Usije uchange pigo
Change pigo, change pigoo
Aaah aah aah aaah 
Oooh oooh oooh