Wife Lyrics

Aslay

Swahili

Bongo Flava Slow

Print

Wife

By Aslay


Wife wee, wife material
Kipenda roho
Chekecha, weka kwa chujio
Maneno yao

Waambie umeshikwa umedata na mimi ooh
Mtoto show
Uwavunje mifupa tuwakate vilimi ooh
Waumie roho

Nitakonda ahaa
Ukiniacha mbele za watu ahaa
Shoka ahaa
Usifiche mapenzi chini ya kiatu ahaa


Usipunguze ongeza
Paka vuna teleza
We pekee unnaniweza
Niongeze mchuzi wa pweza, ninywee

Baby ooh baby, baby ooh baby
Ubavu wangu wa pembeni
Chokochoko, laka laka chokochoko
Kidume mashine, 
Chokochoko, laka laka chokochoko
Matam tam tam
Chokochoko, na sihongi mpaka boko

Maruani au masumbi hunny
Yakikupandaga kichwani
Vurugu tupu kitandani
Ooh gaga

Mtoto show, rangi ya jogoo
Mi ndo shiza kichura kwenye mechi
Tukikutana lazima nishinde goal

Mmmh nakupenda ukipitisha ulimi kwenye masikio
Ukinipapasa kifuani nakupa vyeo
Napo chumba tukicheza kwa pwaru we ni kilio
Ukinipa macho vinatokaga vinyweleo, mwilini

Nitakonda ahaa
Ukiniacha mbele za watu ahaa
Shoka ahaa
Usifiche mapenzi chini ya kiatu ahaa

Usipunguze ongeza
Paka vuna teleza
We pekee unnaniweza
Niongeze mchuzi wa pweza, ninywee

Baby ooh baby, baby ooh baby
Ubavu wangu wa pembeni
Chokochoko, laka laka chokochoko
Kidume mashine, 
Chokochoko, laka laka chokochoko
Matam tam tam
Chokochoko, na sihongi mpaka boko

Only you, baby only you
Utafanya nikuroge nishike kipalizi
Only you, baby only you
Utafanya nikuroge nishike kipalizi