Nyang'anyang'a Lyrics

Aslay

Swahili

Bongo Flava

Print

Nyang'anyang'a

By Aslay


Ai yooo
Ooh yeah  
Ooh yeah wewe
Wewe

Baby pole pole, Usije nitesa
nafsi
Kuku nipe mchele, mahindi ngedele
Usije niacha basi

Mmmh, mpaka majogoo,
Kitandani ni mafunzo ya ki Commando
Nipe mama nipe nyumba na choo
Hongera umevua pekee bila chambo


Wanapata taabu wanavyoona tunapendana tunawapa adhabu
mpaka maji wanaikama mama
ma

Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)

Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a

Sasambu sasambua
Ukimaliza kupika kazi yangu kupakua
Ukimaliza kufua kazi yangu kukamua
Ukitaka muwa, naumenya nakugea unakula

Oooh, uchungu wangu unaujua wewe
Uchungu wako naujuwaga mimi mwenyewe
Pilika pilika za kuku na mwewe
Adui ndo inazo walazi wasitusumbue

Wanapata taabu wanavyoona tunapendana tunawapa adhabu
mpaka maji wanaikama mama
ma

Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)

Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a

Nakupa yote, Chukua Chukua Chukua Yote Yako
, Chukua Chukua Chukua
Peke Yako, Chukua Chukua Chukua

Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo)
Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo)

Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo)
Nyang'anyang'a beiby ooh
Sijateleza nyang'anyang'a (aah)
Mi kwako nyang'anyang'a