Nichombeze Lyrics

Aslay

Swahili

Bongo Flava

Print

Nichombeze

By Aslay


Eeh
Oooh navaa suti, tai weka sawa(sawa)
Mtoto roast roast yaani kazi na dawa
Kwake sifurukuche yaani fire fire
Mtoto Ndizi karoti helwa helwa

Mchuma nzuri na tali bafana bafana
Ah nishamsomea dua
Aki cheat anagandana ananasana
Kiuno kama dancer waki Congo
Ana masifa akiinama

Mixer kuongea kimombo
Kama kitoto cha Obama
Kitandani no longo longo(aaah...)
Kisafi no tongo tongo(aah..)


Kapewa undi katoa jambo
Mtoto ni fundi anajua mambo
Sinaga taabu baba wa kambo
Na nunua namvua namvalishaga

Ya habibi, ya habibi
Ya hayati, ya hayati
Ya habibi, ya habibi
Marashi ya moyo wangu eeh

Ya habibi (nichombeze)
Ya hayati (nilegezee)
Ya habibi(ayaya)
Tuliza mtima wangu eeeh

Mashindano, mashindano ni mazito 
Hili jiko jamaa, halishikiki nila moto
Msuguano, mambo mpwito mpwito
Kiuno ni feni mama, kitandani mafuriko

Nasimamia ukucha, usiku natetema(aah mama)
Akishikaga ukuta nashindwaga kuhema
Kazini kurudi narudigi mapema(aah mama)
Naogopa wenye nazo wasije ninyang'anya

Ninapata shida mwenzako
Ukitoka pekee yako
Usiniache nitakufa mwenzako(oooh)

Ya habibi(ooh beiby love), ya hayati
Ya habibi, Marashi ya moyo wangu eeeh
Ya habibi nichombeze nichombeze

Ya hayati nilegeze legeze
Ya habibi usije nipoteza
Tuliza mutima wangu eeeh

Ya habibi, ya habibi
Ya hayati, we ndio wapekee
Ya habibi, aaai wewe
Marashi ya moyo wangu eeh eeh

Ya habibi, nichombeze
Ya hayati, nilegezee
Ya habibi, ayayaya
Tuliza mtima wangu eeeh

Shikamoo, shikamoo
Shikamoo, una ubaya gani?
Aii beiby shikamoo

Nakupa heshima, nakuamkia wee
Nakupendaa shikamoo
Nakupendaa shikamoo

Nakupendaa 
ooh beiby shikamoo
Kwa unavyonifanyia wee

Ya habibi, ya habibi
Weee, ya habibi