Hakuna

Aslay

Uyeaah … uyeaah  uyeaah… touch

[VERSE 1]
Mmmh sina hali iii
Nakosa furaha mwenzako
Usiku silalagi kabisaa
Namisigi joto lako
Tafadhari iiii
Fikiria maamuzi yako
Utakuja kuniua kwa mawazo
Mwana wa mwenzako
Naona nadondokaa
Maisha yana yumba yumba
Sina pakushika
Basi rudi mama mwenye nyumba eh
Nakama ukiipata barua
Uisome na kutumaa
Ewe njiwaa ewe njiwa eeh
Peleka salamu kwa mpenzii hihiiii
Ewe njiwa ewew njiwa eeeh
Mwambie memiss kishenzii hihiiii

[HOOK]
Nasema hakuna kama wewe(hakuna, hakuna, hakuna)
Mmmh wakwangu mimi mwenyewe (hakuna, hakuna, hakuna)
Unavumilia shida na raha eeeh(hakuna, hakuna, hakuna)
Basi nisameheehee (hakuna, hakuna, hakuna)
We ndo wapekee


[VERSE 2]
Sizani kama nitapataa
Wakuja kunishikaa
Na nika pumzikaaa kama wee
Wenzangu maona wananenepa
Mwenzako me nakondaaa
Mifupa inatokaa nisamehee
Kwangu beki wamekabaa
Wamegoma hata kucheza ndondo ooh
Na wee ndoi kocha wa mahaba
Nashangaa umenipiga kumbo ooh
Na zile shombo za pakaa sizitaki tena hata kidogoo dogoo
Naona nadondokaa maisha yana yumba yumba
Sina pakushika basi rudi mama mwenye nyumba eeh
Nakama ukiipata burua uisome na kutumaa
Ewe njiwaa ewe njiwa eeh
Peleka salamu kwa mpenziii ihiiiiii
Ewe njiwa ewew njiwa eeeh
Mwambie memiss kishenzii hihiiii

[HOOK]
Nasema hakuna kama wewe(hakuna, hakuna, hakuna)
Mmmh wakwangu mimi mwenyewe (hakuna, hakuna, hakuna)
Unavumilia shida na raha eeeh(hakuna, hakuna, hakuna)
Basi nisamehee (hakuna, hakuna, hakuna)

We ndo wapekee